Skip to main content

Posts

INNOVATION CHALLENGE IN MWANZA DTBi,Costech,DLi and BUNI

lEO siku ya ijumaa Vijana karibia 23 ambao wanakuja na aidia nyingi za kutatua changamoto katika jijila Mwanza kuhusu matatizo kama Msongamano wa magari  Uvuvi haramu na Ujangili Ujasiriamali Kilimo Migogoro ya ardhi
TCU Yawatoa Hofu Wanafunzi Wanaotarajia Kujiunga Vyuoni Mwaka Huu   Friday, July 28, 2017   Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imesema kuwa haitegemei kufutiwa udahili kwa wanafunzi kwa baadhi ya vyuo, kutawakosesha baadhi ya wanafunzi watarajiwa nafasi au kozi walizodhamiria kwenda kuzisoma. Akizungumza kwenye Viwanja vya Maonesho, Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Habari Mwandamizi, Edward Mkaku alisema TCU haitahusika na wanafunzi ambao watakosa vyuo kwa sababu kwa sasa wameratibu udahili na hivyo ni jukumu la mwanafunzi kutafuta chuo kulingana na ufaulu alionao. “Hatutarajii mwanafunzi kukosa chuo, na pia kufutiwa udahili kwa baadhi ya vyuo siyo sababu ya wanafunzi kukosa nafasi kwenye vile vyuo vilivyopo,” alisema

CHUKUA TAHADHARII!!!!!!!!!!!

Chukua Tahadhari Kama Unatumia Hizi Bulb   Friday, July 13, 2017     Tunapenda kupunguza matumizi ya nishati, hizi bulb ambazo ni rafiki wa mazingira na zinazookoa nishati(energy serving bulb) zimekuwa zikitumika zaidi kwa sasa. Ila ni vyema ujue kwamba hizi bulb za kisasa ni kweli zina sumu. Shirika la kulinda Mazingira limetoa maelekezo ya dharura unayohitaji kuyafuata endapo bulb yako itavunjika. Hii ni kutokana na gesi yenye sumu inayotoka endapo bulb itavunjika. Taasisi ya Fraunhofer Wilhelm Klauditz ya Ujerumani inadai kuwa kama taa hii itavunjika ndani ya nyumba itatoa  mara 20 zaidi ya Mercury katika hewa Bulb hizi za kupunguza matumizi ya Nishati zinaweza kukuletea matatizo haya; Kizunguzungu Kifafa Maumivu ya kichwa Uchovu Kutostahimili Wasiwasi 1.Bulbu hizi zinazookoa nishati zina wingi wa zebaki(mercury) Mercury ni hatari hasa kwa  watoto na  wanawake wajawazito.  Uharibu mfumo wa neva,  ubongo,  figo na  ini. Pia uharibu uzazi,  kinga ya
  Thursday, July 13, 2017   MABINGWA wa Kombe la SportPesa, Gor Mahia kutoka Kenya wanatarajia kuikaribisha Everton FC inayoshiriki Ligi Kuu England katika mechi ya kirafiki itakayopigwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam- huku mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney akisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka wa Tanzania. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe, jana aliongoza viongozi mbalimbali wa serikali na wadau wa soka nchini waliojitokeza kuipokea timu hiyo ambayo imekuja nchini kwa mwaliko wa Kampuni ya SportPesa Tanzania. Mechi ya leo itakuwa ni ya kwanza kwa Rooney tangu arejee katika klabu yake hiyo akitokea Manchester United ambayo aliitumikia kwa miaka 13. Kocha wa Everton, Ronald Koeman, alisema kuwa kila mchezaji wa timu hiyo ambaye amekuja nchini atapata muda wa kucheza kuanzia dakika 45 na wataondoka kesho. "Hii ndiyo mechi ya kwanza ya kirafiki na kila mchezaji nitam

HALIMA MDEE!!!!!!!!!!!

YAJUA MADARAJA MAKUBWA DUNIANI

op 10 grootste en langste brûe in die wêreld 2017   Dinsdag 5 Julie, 2017      1: Danyang-Kunshan Grand Bridge lengte van meer as 164 kilometer.  CHINA  2: Tianjin Grand Bridge lengte is meer as 100 kilometer ..   CHINA  3: Weinan Weihe Grand Bridge lengte van die brug is sowat 79,7 kilometer.  CHINA  4: Bang Na snelweg lengte van die brug is sowat 55 kilometer.  Thailand  5: Beijing Grand Bridge lengte van hierdie pragtige brug is meer as 48 kilometer   CHINA  6: Lake Pontchartrain Causeway lengte van die brug is sowat 38,35 kilometer   VSA  7: Manchac Swamp Bridge Totale lengte van die brug is sowat 36,69 kilometer   VSA  8: Yangcun Bridge Wat lengte is sowat 35,8 kilometer.  CHINA 9: Hangzhou Bay Bridge lengte van die brug is sowat 35,68 kilometer.  CHINA 10: Runyang brug lengte is 35,66 kilometer   CHINA
Korea Kaskazini yatamba yasema Kombora lao linauwezo wa kufika Marekani   Wednesday, July 05, 2017   Korea Kaskazini ilitoa picha za kombira hilo la masafa marefu ICBM likirushwa Marekani imethibitisha kwamba Korea kaskazini ilifanyia jaribio kombora la masafa marefu ambalo kulingana na wataalama wanaamini linaweza kufika Alaska Marekani. Waziri wa maswala ya kigeni amelitaja jaribio hilo kuwa vitisho vipya kwa Marekani na dunia na kuonya kwamba Washington haitakubali hatua ya Korea Kaskazini kujihami na nyuklia. Pyongyang imedai siku ya Jumanne kwamba ilifanikiwa kulifanyia majaribi kombora lake la masafa marefu ICBM. Wakijibu, Marekani na Korea Kusini zilirusha makombora kusini mwa maji Korea. Zoezi hilo la kijeshi la pamoja lililenga kuonyesha uwezo wa mashambulizi ya mataifa hayo mawili, Pentago imesema. Ijapokuwa jaribio la Jumanne lilionekana kuwa hatua kubwa ,wataalam wanaamini kwamba Korea kaskazini haina kombora la masafa marefu la kinyuklia. Bwana Tillerson