Skip to main content

Posts

Showing posts with the label titus jr

Wanafunzi watengeneza koti linaloweza kuzuia mtu kuvamiwa

Wanafunzi wanne kutoka Mexico wametengeneza koti ambalo wanadai linaweza kuzuia mtu kuvamiwa. Mikono ya koti hilo linaweza kutoa mshtuko wa umeme utakaomfanya mtu yeyote aliyeligusa kushindwa kutoka. Wanafunzi hao waliobaini mbinu ya kuwakamata wavamizi wa kijinsia na wamesema walikuja na wazo hilo baada ya kuongezeka kwa idadi kubwa ya watu wanaofanyiwa shambulio la kijinsia katika mji wao. Aidha wanafunzi hao wamedai kwamba mshtuko huo wa umeme waliouweka kwenye koti ni mdogo hivyo hauwezi kuainishwa kama silaha licha ya kwamba ni imara kuweza kushambulia mtu yeyote. Koti hilo linaloitwa women wearable lilitengenezwa na Anaid Parra Quiroz na Esthela Gómez ambao ni wanafunzi wa uhandisi na kushirikiana na Giwan Park ambaye ni mwanafunzi wa kutengeza roboti na mwanafunzi wa sheria ambaye ni Guadalupe Martínez. Wanafunzi hao wanne katika chuo cha Puebla walikuja na wazo hilo ikiwa ni sehemu ya ujasiriamali darasani. Mamlaka ya mji huo wa Puebla umetoa takwimu ...