Skip to main content

Posts

JPM awaondoa Shaka Wafanya biashara   Saturday, July 01, 2017   Rais John Magufuli leo katika Ufunguzi wa Maonyesho ya Kimataifa ya Sabasaba amewaondoa Hufo wafanya bisahara nchini na kuwahakikishia atawawekea Mazingira mazuri.
Breaking News: Mtangazaji wa Azam Tv Apatikana   Saturday, July 01, 2017   Mtangazaji wa Azam Tv Fatna  Ramole aliyeripotiwa kutoweka tangu Juzi Alhamisi ameripotiwa na ndugu yake Lulu Remole. Lulu amethibitisha kupitia Ukurasa wake wa Twitter na kuwashukuru waungwana walishirikiana kumtafuta Dada yake. "Asante wote kwa ushirikiano wenu, Mungu mkubwa tumepata taarifa na tukaweza kumpata Fatna.Bila RT zenu nisingepigiwa na huyo Dada. Mbarikiwe" - Lulu Lulu aliripoti na kuujuza umma kupitia mitandao ya kijamii kuwa Dada yake hajaonekana kwa muda wa saa 48.

JINSI ATM MASHINE INAVYOTENGENEZWA

SIKIA HAYA YA MAGUFULI!!!!!

Tumechoka Kuchezewa- Rais Magufuli   Saturday, July 01, 2017   “Tumechoka kuchezewa.” Hayo ni maneno ya Rais John Magufuli wakati akizindua rasmi maonyesho ya  41 ya kimataifa ya biashara huku akisisitiza  maonyesho hayo yatumike kama chachu ya maendeleo. “Tumechoka, tumechezewa mno, lakini tumechezewa kwa muda mrefu  na tumechezewa kwa sababu tumeamua,” amesema.  Ameyasema hayo leo (Julai 1) wakati akihutubia katika viwanja vya Sabasaba. Pamoja na kusisitiza utajiri ambao Tanzania inao, Rais amewataka wawekezaji walioshiriki maonyesho hayo  kuwekeza nchini kwa kuwa Tanzania ipo salama. “Maonyesho haya yatumike kama chachu ya maendeleo,” amesema.

NJIA ZA KUWA MFANYA BIASHARA MKUBWA

ifuatazo Ndizo Njia 7 Za Kuwa Mafanyabiashara Mkubwa   Friday, June 30, 2017     Makala 1. Chagua wazo bora la kibiashara. Wazo bora la kibiashara ndilo litakalo kufanya kuwa mfanyabiashara wa mkubwa. Mara nyingi nimekuwa nikikutana na watu wakisema wanataka kuwa wafanyabiashara na kuishia kusema tu. Ila ukweli ni kwamba katika kuchagua wazo bora la kibiashara ni lazima ujiulize je unataka kuwa mzalishaji wa bidhaa au huduma? Je unataka kuwa mnunuzi na muuzaji?au  je unataka kuwa msambazaji tu ? Hayo yanaweza kuwa miongoni mwa maswali ya msingi ya kujiuliza. 2. Fanya uchunguzi juu ya washindani wako. Hapa ndipo jicho la tatu linaposhindwa kufanya kazi mara nyingi. Tumekuwa si wachunguzaji wazuri juu ya washindani wetu ila tumekuwa wasikilizaji tu kwa watu wengine juu ya washindani wetu. Ila ikumbukwe ya kwamba fanya uchunguzi wa kutosha ili kujua washindani wako wanatumia mbinu zipi kukuza biashara zao. Hii itakusadia pia kujua ni wapi wanapokosea ili uweze kulizipa

je wajua baiskeli ndefu kuliko zote duniani?

Zijue Fursa 150 za biashara na miradi mbalimbali nchini Tanzania   Tuesday, June 27 , 2017     biashara 1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha. 2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha. 3. Kutengeneza na kuuza tofali 4. Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na           Makampuni mbalimbali. 5.  Kuanzisha kituo cha redio na televisheni 6. Kufunga na kutengeneza vifaa mbalimbali vya electroniki na mawasiliano mfano; compyuta na vifaa       vya compyuta na mawasiliano. 7. Kuuza software; mfano Antivirus, Operating Systems, Pastel, Tally, Myob, n.k 8. Kushona na kuuza nguo. 9. Kufungua Duka la kuuza nguo mpya; suit, socks, batiki, nguo za asili, Mashuka, Mashati, Suruali, 10. Ufugaji wa mifugo mbalimbali mfano Kondoo, Mbuzi, Ng’ombe, Kuku, Bata, na wengine. 11. Kufungua stationery, kuuza (supply) vitabu na vifaa mbalimbali ktk mashule na vyuo. 12. Kutoa ushauri mbalimbali wa Kitaalamu. 13. Kuuza viazi, mahi